Thursday, November 19, 2009

Mazishi ya Nyanda.....

Sehemu ya waombolezaji wakati wa mazishi kwenye makaburi ya Kimara Rombo.


Mama Mzazi wa George Nyanda akiweka shada la maua kwenye kaburi la mwanae. Nyanda alifariki baada ya kupigwa risasi na askari polisi mwishoni mwa wiki iliyopita.


No comments:

Post a Comment