
Marchi mbili mwaka huu,
wapenzi wa muziki wa taarab nchini wanaisubiria kwa hamu hususan wale
wanaoingia katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala.
Siku hiyo wapapasa vinanda maarufu akiwemo Mfalme Mzee Yussuf (Jahazi), Ally
Jay (5stars) na Thabit Abdul (Mashauzi Classic) watakapochuana katika mpambano
wa kupapasa vinanda.
Mpapano huo umepangwa kufanyika katika ukumbi huo na kila mtu hivi sasa
anazungumzia mpambano huo.
No comments:
Post a Comment