
KUNDI la Mashujaa Music linatarajia kuingiza kambini
wanenguaji wake kwa ajili ya kujifua mtindo mpya kwa ajili ya kupagawisha
katika maonyesho yao ndani ya kipindi hiki.
Akizungumza na starehe meneja wa bendi hiyo Max
Luhanga anasema lengo la kuingia kambini ni kujipanga katika kuimarisha bendi
na kujiweka sawa.
Anasema katika kuimarisha bendi ikiwa na kujipanga
na kutaka kuonyesha umairi katika jukwaa kulingani na ushindani uliopo kwa
sasa.
“Tumepania kuwa juu katika burudani ndani na nje ya
Dar es Salaam na tumeshapokea vifaa vipya vya muziki na kujifua kufanya
mapya,’anasema Luhanga
Anasema katika kuingia kambini bendi imeweka
mikakati ya kuendeleza kufanya vizuri kama kawaida yake na kuandaa kuafanya
makali zaidi.
MWISHO
No comments:
Post a Comment