Binti wa Kitanga
Saturday, May 15, 2010
Ni jinsi kama wanawake tukiwezeshwa tunaweza kwa namna moja au nyingine tupeni nafasi
Msanii Q Chillar baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa anawika akiwa na kampuni ya Didas Fashion ya jijini Dar es Salaam
Ched Benz amabye aliweza kuwika katika tunzo za Muziki KILL AWARD ya mwaka 2010
Msanii wa muziki wa kizazi Hamisi Mwijuma FA akimkabizi msanii DAIMOND aliyeshindana katika shindano la KILL AWARD
Muimbaji mkali wa Muziki wa Taarb Mzee Yusuphu akiwa ameshikiria Tuzo aliyoshinda wakati wa kushindanishwa nani muimbaji bora katika tuzi ya Kilimanjo
Kijana ambaye jina alikuweza kutambulika kwa urahisi akiwa katika moja ya biashara zake za miche ya minanasi kwa ajili ya kujikimu kimaisha
Friday, May 14, 2010
Msanii wa Muziki wa Kufoka Bob Marley akiwa katika moja ya pozi yake enzi za uhai wake ikiwa kwa kila mwaka ikifika kila siku Mei 11 ni siku ya kumku
Mdau wa soka Alex Kajumulo akiongea na Mhariri wa gazeti la Mwananchi Ibrahimu Bakari katika moja ya mahojiano yao alipowasili jijini Dar es Salaam
Wachezaji wa Timu ya Twiga Stars wakiwa katika mazoezi yao uwanja wa karume baada ya kupata Mdhamini wa sh,Milioni 10 kwa ajili ya kuingia kambini
Warembo wa Miss IFM 2010 wakiwa katika vazi la kutokea katika kiny'anyiro kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Mapolisi jijini Dar es Salaamn
Msanii wa kizazi kipya Chid Benzi akiwa anchema mistari na Msanii kutoka katika mashindano ya Bongo star Search Chiku Renno
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)
Blog Archive
►
2012
(11)
►
February
(10)
►
January
(1)
►
2011
(13)
►
September
(1)
►
July
(3)
►
February
(2)
►
January
(7)
▼
2010
(38)
►
December
(4)
►
November
(5)
►
August
(2)
►
June
(6)
▼
May
(11)
Ni jinsi kama wanawake tukiwezeshwa tunaweza kwa n...
Msanii Q Chillar baada ya kukaa kimya kwa muda mre...
Ched Benz amabye aliweza kuwika katika tunzo za Mu...
Msanii wa muziki wa kizazi Hamisi Mwijuma FA akimk...
Muimbaji mkali wa Muziki wa Taarb Mzee Yusuphu aki...
Kijana ambaye jina alikuweza kutambulika kwa urahi...
Msanii wa Muziki wa Kufoka Bob Marley akiwa katika...
Mdau wa soka Alex Kajumulo akiongea na Mhariri wa ...
Wachezaji wa Timu ya Twiga Stars wakiwa katika maz...
Warembo wa Miss IFM 2010 wakiwa katika vazi la kut...
Msanii wa kizazi kipya Chid Benzi akiwa anchema mi...
►
March
(9)
►
January
(1)
►
2009
(17)
►
December
(11)
►
November
(6)
Zaina
www.malongo.blogspot.com
View my complete profile